jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

MAKATIBU WAKUU ZANZIBAR WAFANYA ZIARA ZBC RADIO.

Share This
 Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee kulia akiwapamoja na Makatibu wakuu mbalimbali wakisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa ZBC Radio Ali Aboud Twalibu kushoto katika ziara walioifanya ili kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili shirika hilo Zanzibar.
DSC_0412
 Fundi Mkuu wa ZBC Radio Ali Aboud Twalibu akiwaonesha jambo makatibu Wakuu  katika sehemu ya kuhifadhia CD mbalimbali walipofanya ziara katika shirika la ZBC Radio Zanzibar.
DSC_0392
 Mkuu wa Watangazaji ZBC Radio Suzan Kunambi akitoa maelezo kuhusiana na Utangazaji katika ziara ya Makatibu Wakuu walioifanya katika shirika la ZBC Radio Zanzibar.
DSC_0437
Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee akiwa pamoja na Makatibu Wakuu wakimsikiliza Mkuu wa Chumba cha Kompyuta Zanzibar Leo Rabia Bakari walipofanya ziara katika Ofisi za Gazeti hilo Rahaleo Zanzibar.
PICHANA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad