Mshindi wa Taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Laura Kwai akipunga mkono kwa mashabiki wa ulimbwende mara baada ya kutangazwa kutwaa taji hilo jana katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi wa pili wa taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Evelyn Andrew pamoja na mshindi wa tatu wa taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Clara Nyaki (kulia). Shindano hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL).
Mshindi wa taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2015 (kushoto) akimvisha Mshindi mpya wa Taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Laura Kwai (aliyeketi) mara baada ya kutangazwa kutwaa taji hilo.
Hellen George a.k.a 'Ruby' akitumbuiza kwenye shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 jana katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es Salaam. Shindano hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL).
Baadhi ya maofisa na wafanyakazi wa TTCL ambao ni wadhamini wakuu wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakipiga picha na Balozi wa TTCL, Glory Gidion mara baada ya kumaliziki kwa shindano hilo.
No comments:
Post a Comment