JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MUSA SAID ASHIRIKI VYEMA KAMBI YA KIMATAIFA YA COPA COCA- COLA, UFARANSA.

Share This
Bakari (16), mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tirav iliyoko wilayani Temeke, ambaye amepata nafasi hiyo kwa udhamini wa Kampuni ya Coca-Cola.Nyota wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za Sekondari (UMISETTA) Mussa Bakari akifurahia na wenzake alioungana nao katika kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyopo jijini Paris nchini Ufaransa.
Musa Bakari akiwa katika nyuso ya furaha ndani ya kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyopo jijini Paris nchini Ufaransa.
 Kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola imefanyika kuanzia 29 June hadi Jumatatu 4 Julai 2016.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad