Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara akiaga mwili wa marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam leo.

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Club ya Yanga, Jerry Muro akiaga mwili wa marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.
Mamia
ya Waombolezaji wajitokeza kuaga mwili wa mwandishi wa Habari za
Michezo wa Gazeti la Majira marehemu, Elizabeth Mayemba nyumbani kwake
Tabata jijini Dar es Salaam. Mwili huo utasafirishwa leo kwenda mkoani
Morogoro kwa mazishi.
Waombolezaji wakiga mwili wa Marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam leo.













No comments:
Post a Comment