Baadhi ya wazee, wafanyabiashara, viongozi wa dini na wananchi wa Dodoma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu mikakati ya serikali ya kuhamia Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Julai 26, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa Dodoma baada ya kuzungumza na wazee, viongozi wa dini, wafanyabiashara na wananchi wa Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Julai 26, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:
Post a Comment