Mbunge wa Kondoa,Juma Nkamia akizungumza wakati wa
ziara hiyo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea vijiji vilivyokumbwa na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana katika kijiji cha mwaisabe, Wilayani Kondoa.
Katika ziara hilyo ameambatana na wataalam mbalimbali ambao wameweka kambi kwenye vijiji hivyo ili kufuatilia wagonjwa majumbani.vile vile ametembelea wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya kondoa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya
Kondoa Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea vijiji
vilivyokumbwa na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana katika kijiji
cha mwaisabe,Wilayani Kondoa.






No comments:
Post a Comment