Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Wakili Bahame Nyanduga akimuelezea Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe juu ya utendaji kazi waTume hiyo na changamoto mbalimbali wanazozikabili . Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na watendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, yaliyofanyika ofisini kwake leo jijini Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment