jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

MABONDIA WANNE WAPIGWA PINI.

Share This
MABONDIA WANNE WAPIGWA PINI AKIWEMO THOMAS MASHALI, FRANSIC MIYEYUSHO, NASSIB RAMADHANI NA RAMADHANI SHAULI KUCHEZA NA MABONDIA KUTOKA NJE MEI 14 DAR ES SALAAM.
Bondia THomasi Mashali katikati akisaini mkataba mbele ya katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa PST Anton Ruta kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na muirani Sajjad Mehrabi utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa kushoto ni bondia Fransic Miyeyusho.
IMG_0336
Bondia Ramadhani Shauli kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga Mei 14 na bondia Salim Salim kutoka Malawi katikati ni katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa PST Anton Ruta na kocha wa bondia huyo Cristopher Mzazi.
IMG_0350
Bondia Nassibu Ramadhani akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje ya nchi mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kulia na kocha wa bondia huyo Cristopher Mzazi.
IMG_0359Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje siku ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa tasifa kushoto ni kulia ni katibu mkuu wa PST Anton Ruta katikati ni bondia Thomas Mashali .

Picha na SUPER D BOXING NEWS
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad