KFC Tanzania General Manager, Louis Venter (Center) celebrates YUM Award for best KFC Franchise in Africa
(from left to right) Carol Taylor—General Manager – Kuku Foods LTD- Ugand, Chris Johnson—Market Manager –YUM –Africa, Phil Gutsche Jnr—Chairman Kuku Foods LTD -East Africa, Louis Venter—General Manager –Kuku Foods LTD- Tanzania, Derrick van Houten—Managing Director –Kuku Foods LTD –East Africa and Justin Melvin- General Manager – Kuku Foods LTD -Kenya.
Rico Legaspi, Area Coach KFC Tanzania, winning YUM TOP 10 Customer award at Annual Conference in South Africa in a separate occasion.
KUKU Foods East Africa Holdings
Ltd (Washirika wa KFC Afrika Mashariki) wamepewa tuzo ya kuwa mgahawa bora wa
mwaka kwenye mkutano wa 2016 wa uongozi uliofanyika mjini Capetown Afrika ya
kusini.
Katika hotuba yake ,Mkurugenzi
Mtendaji wa KFC Afrika, Doug Smart alisema KFEA imepata tuzo kwa mafanikio
walio yaonyesha kwenye utekelezaji mzuri wa mipango ya kibiashara na
kukamilisha malengo ya 2015, ukuaji
mkubwa wa biashara za watu , migahawa mipya na ya kisasa na maoni mazuri kutoka kwa wateja kuhusu
bidhaa zetu na uzoefu uliopo kwenye bara
hili katika tafiti za stoo kubwa. Tafiti na: Guest Experience Survey (GES
Tuzo za mgawaha bora wa mwaka zinatolewa kila mwaka kwenda kwa mgahawa unaostahili
kwa kufuata vigezo vya migahawa, nia ya ushirikiano, uwezo na kutoa huduma bora
kwa mteja, uongozi mzuri, ubunifu na mauzo yakinifu, ujenzi wa migahawa mipya ya KFC na ubora wa migahawa
iliyopo kati ya michache.
Mbali na kupata tuzo ya mgahawa
bora wa mwaka, KFEA pia imechaguliwa kama Mwendelezaji wa mwaka “developer of the year” pamoja na ‘People
grower of the year’ yote yakiwa ni mafanikio makubwa kwa pamoja.
KFEA ni mgahawa wa kwanza
Afrika ya kusini kupata Tuzo hii. Kwa mwaka huu KFEA inatazamia kupanua wigo
wake kwa kuenea sehemu mbali mbali kwa kufungua matawi mengine 9. Sasa ule
usemi wa full kujichana umetimia. “its finger lickin’ good.




No comments:
Post a Comment