JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEWA NA KAIMU MKURUGENZI WA MAWASILIANO NA UHUSIANO WA VODACOM.

Share This
WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO NAPE NNAUYE ATEMBELEWA NA KAIMU MKURUGENZI WA MAWASILIANO NA UHUSIANO WA VODACOM,ROSALYNN MWORIA KWA AJILI YA MAZUNGUMZO YA KIKAZI.
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosallyn Mworia wakati alipotembelea Wizarani  kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.
.Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosallyn Mworia wakati alipotembelea Wizarani  kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad