JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MWENYEKITI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MKOA WA SIMIYU, EPAPHRA SWAI AFARIKI DUNIA LEO.

Share This

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Simiyu, Epaphra Swai (pichani) amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.

TFF itawajulisha mipango ya msiba na mazishi ya marehemu Epaphra Swai baada ya kukaa na familia ya marehemu na kupanga utaraibu huo.


Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad