MWIGIZAJI
na mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi amewasili mchana huu jijini
Dar leo akiwa na kikosi kazi chake wakiwa tayari kwa 'LIVE SHOW' kesho
katika ukumbi wa mikutano wa Marqee uliopo hoteli ya Hyatt jijini Dar es
Salaam.

Mchekeshaji
kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa na kikosi kazi chake wakiwasili
katika jengo la Alosco Tower lililopo Lumumba jijini Dar es Salaam leo.

Mchekeshaji
kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa katika pozi na bango la GSM
Media leo alipo wasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya 'LIVE SHOW'
itakayofanyika kesho katika hoteli ya Hyatt katika ukumbi wa Marqee
jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa na Meneja Mkuu wa GSM Media, Deo Ndejembi (katikati) na Dj wa mchekeshaji huo, wakiwa katika ofisi cha GSM Media leo mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa GSM Media, Deo Ndejembi na Mchekeshaji
kutoka nchini Kenya, Eric Omondi wakiwa katika picha na kikosi kazi cha
mchekeshaji huyo ambapo 'LIVE SHOW' itakayofanyika kesho jijini Dar es
Salaam.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.




No comments:
Post a Comment