JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


BENKI YA BARCLAYS YATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI KUMI BORA NCHINI WA VYUO MBALIMBALI.

Share This
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina akizungumza na waandishi wa habari jinini Dar es Salaam leo wakati wa kuwapokea wanafunzi kumi kutoka vyuo mbalimbali ili kwenda kuwapa mafunzo na kufanya kazi katika benki hiyo. Kulia ni  Mkurugenzi wa rasiliamali fedha wa  kampuni ya Deloitte Paul Mbithi na kushoto ni Mkuu wa kitengo cha utumishi wa Benki ya Barclays Tanzania, Eutropia Mwabeleko.
 Mkuu wa kitengo cha utumishi wa Benki ya Barclays Tanzania, Eutropia Mwabeleko akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati wa kuwapokea wanafunzi kumi  kutoka vyuo mbalimbli hapa nchini kwaajili ya kwenda kuwapa mafunzo ya kufanya kazi katika benki hiyo.
Mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, Neema Munuo akiushukuru uongozi wa benki ya Barclays  kwa kuwachagua  kwenda kufanya kazi katika benki hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina  katikati waliokaa akiwa na wanafunzi wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini wakiwa katika picha ya pamoja leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad