SIMU.TV: Serikali kumaliza tatizo la maji Makunduchi, TRA yanasa makontena uchochoroni. Ukitupa taka Dar faini 50,000/ SIMU.TV: Rais Magufuli ajadiliwa kila kona ya dunia, asaka vinara ufisadi wa mabilioni. David Kafulila aruka kihunzi Mahakama Kuu; https://youtu.be/H6iRutZCTIE
SIMU.TV: Bosi TRA atajwa ufisadi mabilioni. Presha juu wafanyakazi 13,000 mashirika manne.Wakazi Buguruni hatarini kukumbwa na mafuriko; https://youtu.be/Z5zG9Q970uU
SIMU.TV: AZAM, Simba zauziana Majwega kiaina. Coutinho aipasua kichwa Yanga. Kamusoko afanya mambo ya Messi; https://youtu.be/ZWen_Bemf1k
SIMU.TV: Mrema asema hajutii kumnadi Magufuli. Kampuni ya EGMA kufanyiwa uchunguzi wa ndani.Serikali ya Tanzania kurejeshewa dola Milioni 7; https://youtu.be/jtexKsLhSRs
No comments:
Post a Comment