JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


SAIDI FELLA ALA KIAPO CHA UDIWANI KATA YA KILUNGULE.

Share This

Mkurugenzi wa Kituo cha Mkubwa na Wanawe Said Hassan maarufu kwa jina la Mkubwa Fella leo amekula kiapo cha kuwatumikia wakazi wa Kata y Kilungule kwa ngazi ya Udiwani. Baada ya kula kiapo hicho Fella alikua na haya ya kuzungumza "Kwanza nashukuru Mungu pili Wadau wangu wotekwa Kata yetu ya Kilungule, na Tasnia yetu ya sanaa nawashukuru wasanii wote walio nisapot pia namshukuru sana rafiki wetu wa wasanii Mh Jakaya Kikwete na Rafiki yangu January Makamba"​

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad