SIMU.TV: Rais Magufuli awekewa kigingi bungeni, serikali kurudisha viwanda vilivyouzwa, ahadi za rais zaanza kutekelezwa;
SIMU.TV: Mtihani wa kwanza kwa Rais Magufuli leo, kesi za rufaa Zanzibar kuunguruma Novemba 27, zimo za Mv.Spice Islander na Sheikh Farid; https://youtu.be/XT3SaS0mWoo
SIMU.TV: CCM, CUF Zanzibar sasa washindania mafusho, viti maalum vyazua balaa CHADEMA Zanzibar. Zitto kufufua makaburi bungeni; https://youtu.be/tTqc5K52ydY
SIMU.TV: Makocha wachambua kipigo cha Taifa Stars, TFF yatoa pole kwa mashabiki. Simba yawatema rasmi Ndaw, Sserunkuma, mikoa 10 yajitosa kikapu Taifa; https://youtu.be/jkvg46M1XZM
SIMU.TV: Waziri mkuu kaa la moto, serikali yatoa agizo kupitia upya mikataba ya ubinafsishaji. Bomoa bomoa Dar Es Salaam yashika kasi; https://youtu.be/REOvUAUSdKs
No comments:
Post a Comment