MOHAMMED MBILILI ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA RAFIKI KIPENZI NDUGU DAMAS D. MAGUZO (PICHANI ) KILICHOTOKEA TAREHE 01 NOVEMBA 2015 HOSPITALI YA MWANANYAMALA.
TARATIBU ZA MSIBA ZINAENDELEA NYUMBANI KWA BABA WA MAREHEMU HUKO MABIBO (GARAGE).
MWILI WA MAREHEMU UTASAFIRISHWA KESHO NOVEMBA 3 MWAKA HUU KUELEKEA SONGEA KWA MAZIKO.
KWA LOLOTE LILE UNAOMBWA UWASILIANE NA NAMBA HIZI ZIFUATAZO:
+255 665 62 40 52 / +255 624054 (BABA WA MAREHEMU)
CLEARING AGENTS WOTE MNAOMBWA KUWASILIANA NA BABA WA MAREHEMU MAPEMA.
No comments:
Post a Comment