Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Oktoba 14 2014
Raisi Jakaya Kikwete anatarajia kuongoza shughuli ya kuzima mwenge wa uhuru mjini Dodoma ikiambatana na Maadhimisho Ya Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere.
Wafanyakazi wa Uchumi Supermarket jijini Dar wamelazimika kulala ndani ya ofisi ya kampuni hiyo kushinikiza madai yao. https://youtu.be/-B413uOYQvQ
Raisi Kikwete Jana amezindua mtambo wa kufua umeme wa gesi asilia eneo la kinyerezi utakaozalisha Mega Watt 150. https://youtu.be/2-YDuBMhauI
Waziri wa mambo ya nje Bernad Membe asema ipo hja kubwa kwa nchi za Afrika kuwa na wajumbe wa kudumu katika baraza la usalama wa kimataifa. https://youtu.be/umszGfWpr1s
Watu wenye ulemavu wameipongeza tume ya taifa ZEC visiwani Zanzibar kwa kuweka mazingira rafiki kwa walemavu kuoiga kura https://youtu.be/ajrtbQJBxXU
Klabu ya Arsenal yasema ipo tayari kumuongeza mkataba mshambuliaji Alexis Sanchez ambaye pia ni kipenzi cha mashabiki wa timu hiyo; https://youtu.be/2112f_J6T_o
Ligi kuu soka Tanzania Bara Inatarajiwa kuendelea mwishoni mwa wiki hii ambapo klabu ya Yanga na Azam Zitalaza Nyasi katika Uwanja Wa Taifa https://youtu.be/dLEfZOuqVAg
Mgombea uraisi CCM Dkt. Magufuli atangaza kiama kwa wavuvi wanaofanya uvuvi haramu mara atakapopata ridhaa ya Wananchi. https://youtu.be/ejYDYzu8LW8
Mgombea Uraisi anbayeungwa mkono na UKAWA aahidi kusimamia wachimbaji wadogo kupata maeneo ya Uchimbaji. https://youtu.be/FSYd0_xaRZE
Kamanda Wa polisi Iringa Ramadhani Mungi awaondoa hofu wakazi wa mkoa huo na kuwahakikishia usalama wakati wa Uchaguzi. https://youtu.be/W6VU9WoJ4YU
No comments:
Post a Comment