Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Oktoba 12, 2015
Fuatilia uchambuzi wa soka wa Timu ya Taifa,Taifa Stars inayotarajia kuiivaa Algeria baada ya kufuzu katika hatua ya awali https://youtu.be/FkfZmS2HcH4
Itambue siku ya Taifa ya kuadhimisha upunguzaji wa maafa na majanga ambayo huadhimishwa ifikapo Okoba 13 kila mwaka: https://youtu.be/cFM0NLapGxY https://youtu.be/iC6UbTwuR_0
Klabu
ya Toto Afrikan imefanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi 3 ambapo Godwin
Aiko ameibuka mshindi na kuwa mwenyekiti mpya klabuni hapo: https://youtu.be/s1Q6msm58iY
Klabu
ya Toto Afrikan imefanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi 3 ambapo Godwin
Aiko ameibuka mshindi na kuwa mwenyekiti mpya klabuni hapo: https://youtu.be/s1Q6msm58iY
Chama
cha soko Nchini England FA chagawanyika kuhusu kumuunga mkono Michel
Platini kutokana na kusimamishwa na kamati ya maadili https://youtu.be/VcljC9dIWCI
Tambua umuhimu wa mdahalo katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi Mkuu ambao unatarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu: https://youtu.be/wu5n8ISXsK0
Timu
ya Taifa, Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua inayofuata licha ya
kipigo cha bao 1 kwa bila dhidi ya wenyeji Malawihttps://youtu.be/YShM-ZB39nc
Raisi
Kikwete Na Mgeni wake raisi wa Namibia wakutana na waandishi wa habari
Ikulu na kuzungumzia juu ya Demokrasia barani Afrika. https://youtu.be/pHFDPN6oPLY
Mamlaka ya usimamizi wa mto Pangani huenda ikawa chanzo cha mgogoro kwa watumiaji wa maji ya mto huo. https://youtu.be/ItuUTW_yRSA
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Mizengo Pinda awataka watanzania kutofanya makosa kuchagua wagombea wasiokuwa na uwezo wa kugombea. https://youtu.be/iIhaYxRzZd0
Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa awataka wakuu wa wilaya hiyo kufanya kazi kwa weledi mkubwa na kuacha kukumbatia wawekezaji. https://youtu.be/8zDqIG6Lknc
No comments:
Post a Comment