jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

SOPHIA SIMBA AMNADI MGOMBEA UBUNGE CCM JIMBO LA MBEYA MJINI SAMBWEE SHITAMBALA.

Share This
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ambaye piya ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amnadi mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), katika mkutano wa adhara wa kampeni za Mgombea Ubunge uliofanyika katika Kata ya Iganzo Jijini Mbeya.
DSCF0011
Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mbeya Mjini Ndugu, Sambwee Shitambala akizungumza na Wananchi wa Kata ya Iganzo kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kupitia chama chake.
DSCF0021
Baadhi ya Wanachama na Wakazi wa Iganzo wakimpongeza Mgombea Ubunge Sambwee Shitambalaa.

DSCF0020
Vijana wakifuatilia kwa makini Mkutano huo wa adhara uliofanyika leo katika Kata ya Iganzo Jijini Mbeya.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad