jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

RAIS WA NAMABIA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA

Share This
 Bendera ya Tanzania na Namibia.
IMG_1501
 Ndege ya Rais ikiwasili.
IMG_1667
  Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
IMG_1671
 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha mgeni wake Rais wa Namibia, Hage Geingob.
IMG_1692
  Rais wa Namibia, Hage Geingob akisalimiana na mke wa rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
IMG_1705
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akipokea maua kutoa kwa mtoto, Elizaberth Jackson mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
IMG_1709  Rais wa Namibia, Hage Geingob akipeana mkono na mtoto Elizaberth Jackson mara baada ya kupokea maua. 
_MG_4104
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akipigiwa mizinga 21.
_MG_4114
 Gwaride la heshima.
_MG_4069
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
_MG_4071
Rais wa Namibia, Hage Geingob akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
_MG_4260
Rais wa Namibia, Hage Geingob pamoja na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakicheza muziki wa Brass Band walipokuwa wakiangalia vikundi vya burudani vilivyokuwa vikitumbuiza leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam.
(Picha na Francis Dande)
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad