JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MUZIKI MNENE NDANI YA BUNJU

Share This
                                  93.7 EFM inaendeleza burudani kupitia kampeni yake ya muziki mnene Bar kwa Bar. Jumamosi ilikuwa zamu ya wakazi wa Bunju  kuongea na muziki wa 93.7 EFM.
Burudani hiyo iliendeshwa na timu nzima ya EFM, iliyocheza mechi na  Carlfonia FC ya Boko na kuwafunga magoli mawili kwa moja katika uwanja wao wa nyumbani uliopo ndani ya shule ya msingi Boko. “Kwa bahati mbaya tumeshafungwa mechi tatu ila kuanzia mechi hii ni mwendo wakufunga magori ya kishujaa” alisema Dennis Ssebo mkuu wa idara ya mahusiano na mawasiliano.
Baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani Rainer park Boko huku Rdjs wa 93.7 Efm wakitoa burudani ya aina yake iliyo acha historia  kwa wakazi wa Boko.
 Wachezaji wa 93.7 EFM na Carlfonia FC ya Boko wakisakata kabumbu katika uwanja wa shule ya msingi boko.
 Baadhi ya mshabiki waliojitokeza kushabikia mechi kati ya EFM na Carlfonia FC oko.
 Rdj X5 na Rdj timber wakifanya kazi yao kwa umakini.
Wakazi wa Bunju wakifurahia burudani ndani ya Rainer park Bunju.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad