JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


HABARI ZA MAGAZETINI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Share This
NEC yasema wapiga kura halali ni Mil.22.7, ZEC yafafanua waliofutwa daftari la kudumu la wapiga kura. fuatilia dondoo za magazeti ya leo
Magufuli asema hana mchezo, asema hawezi kuvumilia kuona wananchi wanaumizwa. Waziri Kigoda afariki dunia ; https://youtu.be/8RQRzQUH53U

Membe amvaa Lowasa,asema hana uwezo wa kuongoza. Awamwagia sifa Zitto Kabwe na Dk.Slaa.Pitia dondoo za magazeti hapa;  https://youtu.be/UNzANwKRMyg

Yanga yaiendea Azam Bagamoyo, Samata awania tuzo ya mchezaji bora. Pata udondozi wa habari kutoka magazeti ya leo. https://youtu.be/V4Z7U0-NWL0



Wagombea urais kupambana katika mdahalo Jumapili. Raisi wa Namibia aionya NEC kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa uwazi; https://youtu.be/YBMep4AeCnQ

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad