JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


DK.SHEIN AKUTANA BALOZI WA URUSI NCHINI

Share This
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na mgeni wake  Balozi wa mpya wa Urusi Mhe,Yuri F.Popov katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania baada ya kujitambulisha leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana  na mgeni wake  Balozi wa mpya wa Urusi Mhe,Yuri F.Popov katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad