Wananchi wakishuhudia mchezo ukiendelea ikiwa umedhaminiwa na Mtandao wa simu wa Smart katika viwanja vya Mkuranga mkoani pwani baadha ya mpira kumalizika ndipo Mkizi Mnene Bar kwa Bar ulipoaaza kuchezwa mkoani Pwani mwishoni mwa wiki.
Wachezaji wa timu ya EFM na Mkuranga Veteran wakiendelea kusakata kabumbu ndani ya viwanga vya Mkuranga Mkoani Pwani.
Picha ya pamoja ya Timu ya Mpira wa miguu ya EFM na Mkuranga Veteran iliyo cheza katika viwanja vya Mkuranga mkoani Pwani, mashindano hayo ya mpira wa miguu timu ya EFM iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya Mkuranga Veteran.






No comments:
Post a Comment