Familia ya Bwana na Bibi
Charles Yanga wa Tabata Chang'ombe, Dar es salaam, wanapenda kutoa
shukurani za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki wote walioshirikiana nao
katika mazishi ya mtoto wao mpendwa Abel Charles Yanga aliyefariki
tarehe 22 July 2015 na kuzikwa tarehe 25 July 2015 katika makaburi ya
Kinondoni, Dar es salaam. Familia inakukaribisha kwenye Misa ya
shukurani Jumamosi tarehe 12 Sep. 2015 saa 5.00 asubuhi nyumbani Tabata
Chang'ombe. Baada ya Misa tutashirikiana chakula cha mchana. Karibuni
sana.
Kwa mawasiliano zaidi simu namba
0653 013 211
0653 013 211



No comments:
Post a Comment