Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh, Abu Bakari Zuberi
(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kutokea kwa tukio la ajali ya kuanguka kwa
mashine ya ujenzi na kuangukia Jengo la Msikiti wa Makka nchini Saudi Arabia na
kusababisha vifo vya watu mbalimbali.
( Picha na Emmanuel Massaka)


No comments:
Post a Comment