Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo
akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla
ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka
kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana
Tar.07-09-2015.
Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza
jambo katika Hafla hiyo....
Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri
Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya
Kuzaliwa kwa Fadhiri Atick Kutimiza Miaka
kadhaa,,,
Ankal Ramadhani Maneno kulia akimpongeza bwana Fadhiri Atick
kwa kutimiza Miaka kadhaa.


No comments:
Post a Comment