JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

Share This
Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo limefanyika SA Cheza kwa Madoido. Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad