Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila azungumzia dhana ya ufisadi na aina za viongozi tunaohitaji kuwapatia Ikulu.https://youtu.be/ ytmMOP7RTrE
Mwenyekiti wa DP Mchungaji Mtikila azungumzia umuhimu wa afya bora kwa wagombea uraisi kwani ni nafasi nyeti katika taifa.https://youtu.be/ ku4Qb4R8b10
Mchungaji Mtikila awachambua wagombea uraisi wa CCM na Chadema na ahadi zao za kutoa elimu bure kama vipaumbele vyao.https://youtu.be/ 0Tr1Mt94Px0
Mchungaji Christopher Mtikila amkataa Lowassa asema ana mapungufu mengi yaliyowazi hivyo hamuungi mkono.https://youtu.be/ KFT9QvTuwsU
Mwenyekiti wa DP azungumzia tafiti zilizofanywa na SYNOVATE pamoja na TWAWEZA juu ya nani ana nafasi ya kushinda uraisi katika uchaguzi mkuu.https://youtu.be/ NSk4stC7IBc
Mchungaji Mtikila anadi sera zake ili chama chake kiweze kupatiwa nafasi ya kuongoza nchini na kuleta mabadiliko ya kweli.https://youtu.be/ KTRkmKmRIjc


No comments:
Post a Comment