Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature leo alikua akiongea na
Waandishi wa Habari juu ya Ufanyaji kazi wake katika kipindi hiki cha
kampeni Ambapo aliongozana na Mgombea Ubunge jimbo la Mbagala ambaye ni
rafiki mkubwa na jirani wa msanii huyo Ndg Issa Mangungu.
Juma nature kwa sasa amerudi kufanya kampeni na chama cha mapinduzi CCM
na ameamua kuelezea nia ya kurudi CCM baada ya mashabiki kumuona katika
Majukwaa mengine ya vyama vya kisiasa.
Nature amesema kuwa mziki ambao anaufanya ni Biashara lakini pia
anafanya kwa ajili ya Jamii yake ambayo inamzuuka na pia anaangalia
sehem ambayo anakubalika ivyo akiitwa sehem yeyote kufanya kazi anaenda
anafanya kazi maana mziki ndio ajira yake.
Sikilize hapa Juma Nature akiongea.......



No comments:
Post a Comment