Wananchi wakiwa katika viwanja vya Ulyankulu wilayani Kaliua
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli leo katika viwanja vya Ulyankulu wilayani Kaliua mkoani Tabora leo katika kampeni za kuwania nafasi hiyo mkoani humo.
No comments:
Post a Comment