Aliyekuwa Diwani wa NCCR- Mageuzi na mjumbe wa Halmashauri, Yusuf Nyamgenda ajiunga na CCM leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye viwanja vya Shule ya msingi Nguruka Mkoani Kigoma.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk John Pombe Magufuli akihutubia leo asubuhi katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye viwanja vya Shule ya msingi Nguruka Mkoani Kigoma.
Wananchi waliokusanyika kumsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli wakati akinadi sera zake na za Chama Cha Mapinduzi Mkoani Kigoma.
Kwa picha zaidi tanzama baadae
No comments:
Post a Comment