Katibu wa chama hicho wilayani Lushoto, ndugu Mahanyu, akizungumza wakati wa kuzindua kampeni za chama hicho katika viwanja vya Lwandai Mlalo wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga, akiwa na Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,CCM jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi wishoni mwa wiki.
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,CCM jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika viwanja vya Lwandai Mlalo, kulia ni Mgombea wa udiwani wa kata ya Kwamshasha jimboni Mlalo, Anwari Kiwe.
Wazee wa jimbo la Mlalo wakibadilishana mawazo baada ya kuwasili katika viwanja vya Lwandai Mlalo kabla ya mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,CCM jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi kufungua mkutano wa kampeni katika jimbo hilo wilayani Lushoto mkoani Tanga.






No comments:
Post a Comment