Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea
Banda la NCC katika mkutano wa 13 wa bodi ya Wahandisi Tanzania
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ( wa kwanza
kulia) akipata maelezo ya baadhi ya machapisho ya kitaalamu ya sekta ya
Ujenzi yanayotolewa na Baraza la Taifa la Ujenzi kutoka kwa Mhandisi
Julius Mwita.
Wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Ujenzi wakitoa maelezo
ya shughuli za Baraza kwa Wahandisi waliotembelea katika banda la
(NCC). Wa kwaza kulia ni Afisa Habari Mwandamizi Robertha Makinda,
Ainenyi Clement na Mhandisi Mwita Julius.


No comments:
Post a Comment