Ndg.Robert Gondwe wa Dar es Salaam,anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake Geofrey Boardington Gondwe kilichotokea jana(25.08.2015).
Ataangwa kesho(27.08.2015) kwake Kunduchi saa 6 mchana na Mazishi yatafanyik makaburi ya kinondoni saa kumi jioni



No comments:
Post a Comment