JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MFUKO WA PENSENI WA LAPF WASAIDIA WIKI YA USALAMA BARABARANI

Share This
 Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam Mfuko wa  Pensheni wa LAPF , Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia)  akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum, ACP Peter Sima (kushoto), Hundi ya thamani ya Million Tatu  walizotoa kwa ajili yakusaidia mahitaji ya wiki ya nenda kwa usalama. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Elifadhili Mgonja (wa pili kushoto) na Afisa masoko wa Mfuko huo Rehema  Mkamba .




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad