jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

NASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA LA KWA POLE,ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI NA VIPANDE 30 VYA NONDO.

Share This
Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi.11705369_10153511102137938_5247209604509754294_n

Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole.11743007_10153511101427938_3598942863258596882_n
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi .


11694771_10153511100737938_1941814336703242686_n
Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole.
11745459_10153511101932938_1915725732152340799_n
Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo.
11695987_10153511101752938_3529203723152088777_n
Nassari akikabidhi Nondo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kwa Pole.
11755803_10153511101212938_1161729432188849187_n+%25281%2529
Nassari akitizama ujenzi unavyoendelea.
11700884_10153511102572938_4633113849179400326_n
11781621_10153511102312938_3497330825131778295_n
Mbunge Nassari akizungumza na wafanya biashara katika soko la Kwa Pole mara baada ya kutembelea eneo la Ujenzi wa daraja unavyoendelea.katika shughuli za Ujenzi wa daraja hilo wananchi wamejitolea kufanya kazi hiyo bila ya malipo na kwamba anaye lipwa ni mhandisi pekee.kazi hiyo inataraji kumalizika ndani ya siku 14.

Na Dixon Busagaga wa Globu aya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad