Mjumbe wa Bodi ya Filamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam Bi.Vicensia Shule(wa kwanza kutoka kushoto) akimwuliza jambo Mwenyekiti wa makampuni ya Proin
Bw,Johnson Lukaza(hayupo pichani) leo jijini Dar es salaam walipotembelea
kujionea miundombinu ya kampuni hiyo.Kutoka
kulia ni Makamu mwenyekiti wa wa Bodi
iyo Bw.Sylvester Sengerema na katikati ni Bw.Bishop Hiluka.
Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi,Joyce Fissoo
akichangia jambo wakati walipotembelea miundombinu ya Filamu ya Makampuni ya
Proin.Bi Fissoo ametoa wito kwa makampuni yanayotengeneza Filamu Tanzania
kuendelea kushirikiana na Serikali ili kuimarisha Tasnia ya Filamu na kusaidia
katika kupambana na Changamoto mbalimbali.
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Bw,Johnson Lukaza
akimwonyesha Katibu mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi,Joyce Fissoo moja ya Kazi walizotengeneza na kuingia
Sokoni,Pia aliiomba Serikali kusaidia kuweka sheria kali zitakazo zuia wizi wa
Filamu nchini.
Wajumbe wa Bodi ya Filamu Tanzania wakifurahia jambo na
Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin Bw,Johnson Lukaza(wa tatu kutoka kushoto)
walipotembelea miundombinu ya kutengenezea filamu ya Kampuni iyo eneo la Mabibo
jijini Dar es Salaam.Wajumbe hao walijionea jinsi Filamu inavyotengenezwa na
pia walitembelea eneo kampuni iyo wanapojenga Studio ya kutengenezea Filamu.
No comments:
Post a Comment