Mwenyekiti wa shirika la ndege la nchini Mauritius, Dr. Arjoon Suddhoo akizunumza katika uzinduzi wa safari za shirika la ndege la nchini Mauritius jijini Dar es Salaam leoikiwa na lengo la kuunganisha ushirikiano kati ya nchi za bara la Afrika hasa Tanzania na Nchi ya Mauritius.Safari hizo ni za kutoka nchini Mauritius kuja Dar es Salaam na Dar es Salaam kwenda nchini Mauritius.
Makamu mkuu wa rais wa shirika la ndege la nchini Mauritius, Dornald Payen(katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kabla ya kuzindua safari za ndege za shirika la ndee la nchini Mauritius, kushoto ni Mwenyekiti wa shirika la ndege la nchini Mauritius, Dr. Arjoon Suddhoo na kulia ni Mrs Kan oye Long akiwa katika mkutano wa waandishi wa habari.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora akizungumza katika uzinduzi wa Safari za ndege za shirika la ndege la nchini Mauritius jijini Dar es Salaam leo. shirika hilo limezindua safari za ndege za kutoka nchini Mauritius kwenda jijini Dar es Salaam na kutoka jijini Dar es Salaam kwenda nchini Mauritius ndege hizo zitaanza safari zake kesho.
Mwenyekiti wa shirika la ndege la nchini Mauritius, Dr. Arjoon Suddhoo (wa nane katikati)Picha ya Pamoja na viongozi wa shirika la ndege la nchini Mauritius jijini Dar es Salaam leo.
Viongozi wa shirika la ndege la nchini Mauritius wakifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mshehereshaji wa uzinduzi wa safari za ndege za shirika la ndege la nchini Mauritius ,Evance Bukuku akizungumza leo katika uzinduzi wa safari za ndege za shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa shirika la ndege la nchini Mauritius, Dr. Arjoon Suddhoo akimkabidhi zawadi mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora leo katika uzinduzi wa safari za ndege za shirikal la ndege la nchini Mauritius katika ukumbi wa Maqee katika hoteli ya Hyatt Rgency jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa shirika la ndege la nchini Mauritius, Dr. Arjoon Suddhoo akimkabidhi sanamu ya ndege ya shirika la ndege la nchini Mauritius Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa safari za ndege za shirika hilo za kutoka nchini Mauritius kuja Dar es Salaam na Dar es Salaam kwenda nchini Mauritius.
Mwenyekiti wa shirika la ndege la nchini Mauritius, Dr. Arjoon Suddhoo akigonganisha glass na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora katika uzinduzi wa safari za shirika la ndege la nchini Mauritius jijini Dar es Salaam leo.
Shamlashamla za uzinduzi wa safari za shirika la ndege la nchini Mauritius jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kuzinduasafari za ndege za shirika hilo za kutoka nchini Mauritius kuja Dar es Salaam na Dar es Salaam kwenda nchini Mauritius.
No comments:
Post a Comment