jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

WANYAKAZI WA DAWASCO WAFANYA USAFI MWANANYAMALA NA KUTOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI.

Share This
 Kaimu Mkurugenzi wa  Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO), Mary Mtukula  akikabidhi msaada wa kibinadamu kwa Bingwa wa Magonjwa ya kina Mama wa Hospitali  ya Mwananyamala Dkt. Daniel Nkungu, leo jijini Dar es Salaam.
2
 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospital  ya Mwananyamala Dkt.Delila Moshi akipokea masada wa kibinadamu kutoka kwa  Mkurugenzi wa Uendeshaji  Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka   (DAWASCO)  Shaban  Mkwanywa leo jijini Dar es Salaam.
3
  Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali  ya Mwananyamala Dkt. Delila Moshi akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuwashukuru (DAWASCO)kwa kufanya usafi na kutoa msaada wa kibinadamu leo jijini Dar es Salaam.
4
Wafanya kazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka   (DAWASCO) wakichukua baadhi wa vitu walivyoendanavyo kwaajili ya kupeleka katika odi za wagonjwa.

5
 Wafanya kazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO)wakielekea katka odi za wagonjwa.
6
 Wafanyakazi wa (DAWASCO) kiwa wamesimama kusubili utaratibu wa kuingia odini.
7
8
Wafanyakazi wa (DAWASCO)wakitoa  msaada  kibinadamu kwenye odi ya watoto.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii).
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad