Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbalawa (Hayupo Pichani) katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
No comments:
Post a Comment