728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, January 14, 2016

  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Syria.

  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Balozi wa Syria hapa nchini Mhe.Abdulmonem Annan, baada ya Balozi huyo kumtembelea Naibu Waziri kwa ajili ya kumpongeza na kuzungumzia namna ya kuimarisha mahusiano ya nchi hizi mbili.
  Balozi wa Syria hapa nchini Mhe.Abdulmonem Annan, akizungumza jambo na Mhe. Naibu Waziri wakati wa mazungumzo hayo.
  Msaidizi wa Naibu Waziri, Bw. Adam Isara (kulia), akifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.

  Picha na Reuben Mchome.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Syria. Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top