JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MKUTANO WA HADHARA WA CCM MAKOONGENI KASKAZINI PEMBA2

Share This


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kakskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo jimbo la Mtambwe.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo jimbo la Mtambwe.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali  Iddi wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo jimbo la Mtambwe
 Baadhi ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC na Viongozi wengine wakiwa katika Mkutano wa Hadhara wa kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo katika jimbo la Mtambwe kijiji cha Mkoongeni.
 Baadhi ya Wananchama wa CCM wakiwa wameshikilia mabango yanayotoa ujumbe "KUBADILI CHAMA SIO KURTADI NA VYAMA HAVIMTII MTU PEPONI YUSEMANE"katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo katika kijiji cha Makoongeni Jimbo la Mtambwe Kaskazini Pemba.
 Mamia ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofurika katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Pemba katika Jimbo la Mtambwe,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa sera za CCM na kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza tena katika kipindi cha pili cha Uongozi.
 Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM wakinyoosha mikonu juu kuunga mkono sera zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Pemba katika Jimbo la Mtambwe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad