Kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam;
Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015; Hafla
MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato wa uchaguzi mkuu mwaka 2015;https://youtu.be/Lg8d2m1YwgE
STAR TV: Mwenyekiti wa NEC Jaji Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais 2015; https://youtu.be/b-RaifbfLy0
DR.John Pombe Magufuli na Samia Suluhu wa CCM wakipokea chati cha ushindi wa urais na makamu wa urais wa Tanzania 2015; https://youtu.be/i15KeuGkv3Y
Anna Mghwira -ACT-Wazalendo aeleza matarajio ya Watanzania kwa uongozi wa Dr.Magufuli ikiwemo katiba ya mpya, usawa, uchumi na kudumisha amani ya nchi huku akimkabidhi ilani ya chama chake ;https://youtu.be/pJet8rttF8U
Viongozi mbalimbali wakishiriki kupiga picha za kumbukumbu wakati wa hafla ya kukabidhi washindi wa wagombea urais vyeti; https://youtu.be/nGT8lWgs504
Huyu mama nimemkubali anaijua siasa kwani haki ya demokrasi ndivyo inavyotakiwa magufuli hana hiyana atampa nafasi ya msemahi wa wanawake bungeni
ReplyDeleteDemokrasi ya siasa wewe mama wa ATC unaiweza
ReplyDelete