T'shombe Gilbert Abwao anasikitika sana kutangaza kifo cha Binti yake wa kwanza Marsella Gilbert Abwao, mkuu wa George na Chiku Abwao ,Dada wa Pauline, Pendo na Issac kilichotokea jana saa 9 mchana huko Shinyanga.
Kwa kweli tuna huzuni kubwa na hakuna maneno ya kuelezea ni jinsi gani tulivyo na huzuni ila ni mioyo yetu tu ndo yaweza kuelezea.
TWAMSHUKURU MWENYEZI Mungu kwa yote kwanni HAWAZI KUKUPA MSALABA USIOWEZA KUUBEBA.
Na kwa KWAKE BWANA hakuna kilichoharibika.
Tunaomba aiweke ROHO YAKE mahali pema PEPONI.
AMINA.
No comments:
Post a Comment