Afisa Uchanguzi Mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabidhi fomu Mngombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupiti chama cha wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi jijini Dar es Salaam.
Afisa Uchanguzi Mwandamizi, Rafiki Kiravu akitoa maelekezo kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi kabla ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi akionesha fomu ya kuwania nafasi hiyo hapa nchini akiwonesha waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi za tume ya uchanguzi (NEC) leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.)
No comments:
Post a Comment