jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

WATIA NIA CCM WAENDELEA NA ZIARA YA KUJITAMBULISHA KATIKA KATA MBALIMBALI JIMBO LA ARUSHA MJIN

Share This
Mtia nia ya ubunge kwa CCM Philemon Mollel akizungumza katika mkutano wa kujinadi mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha katika uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
.com/img/proxy/Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya Sakina jijini Arusha ili kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwamgombea wa ubunge jimbo la Arusha kupitia CCM.
.com/img/proxy/Mtia nia ya ubunge kupitia CCM mwanasheria Victor Njau akimwaga sera zake mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
 
 
.com/img/proxy/Wanachama na waasisi wa CCM wa kata ya Sakina jijini Arusha wakisikiliza kwa umakini sera zinazotolewana watia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha walipokua wakijinadi kwao ili kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chaa chao kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Rais,Wabunge na Madiwani utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
.com/img/proxy/Kada wa CCM Mosses Mwizarubi anayeomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha akisisitiza jambo katika mkutano wa kujinadi uliofanyika katika kata ya Ngarenaro jijini Arusha.
.com/img/proxy/Mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kupitia CCM Hamis Migire akijieleza mbele ya wanachama wa CCM wa kata ya Sokon One jijini Arusha ili kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa kiti hicho kupitia CCM.
.com/img/proxy/Mmoja wa wanachama wa CCM wa kata ya Sakija jijini Arusha ambaye hakujulikana jina lake mara moja akipitia kwa umakini kipeperushi chenye maelezo binafsi na mikakati ya kazi za ubunge cha mtia nia ya ubunge wa chama hicho Mustafa Panju wakati wa mkutano wa kujinadi wa watia nia hao uliofanyika katika kata hiyo.
.com/img/proxy/Team kanitangaze wakifuatilia hotuba za watia nia ya ubunge kupitia CCM katika kata ya Elerai jijiniArusha 
.com/img/proxy/Hapa ni sehemu ya wananchi wakifatilia hotuba mbalimbali za watiania nafasi ya Ubunge
.com/img/proxy/Wananchi waliojitokeza kuwasikiliza watia nia Ubunge CCM katika kata ya Ngarenaro jijini Arusha.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad