nawatakia jumapili & mei mosi njema tukiburudika na kibao cha kiatu kivue anastazia mukabwa na rose muhando live ccm kirumba-mwanza

Saturday, April 30, 2011
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 1

TAMASHA KUHUSU USAGAJI NA UKIMWI NCHINI TANZANIA kufanyika mei 7.

MAISHA MEMA EDUCATION & TRAINING CENTRE.


PRESENTS


LESBIANISM & HIV/AIDS IN TANZANIA FESTIVAL.

Theme: HIV/AIDS INFECTION AND TRANSMISSION AMONG WOMEN WHO HAVE SEX WITH OTHER WOMEN IN TANZANIA: Its Causes, Effects & Prevention.


WHEN: 07th May 2011.

WHERE
: PERFECT VISION HIGH SCHOOL HALL, NEAR UBUNGO PLAZA BUILDING.

TIME: From 9.am ( morning ) to 6 p.m ( evening )
ENTRANCE: TSHS 15,000/= ONLY

TICKETS AVAILABLE AT OUR OFFICE, CALL
0719268764. 0R 0716868425 OR 0788363058.

OUR OFFICE IS AT PERFECT VISION HIGH SCHOOL, NEAR UBUNGO PLAZA BUILDING.


WHAT WILL BE THE EVENTS?

1. PAPER PRESENTATIONS

1. Lesbianism In the Secondary Schools of Tanzania; Its Causes, Effects & Prevention.
Presented By ZAINA NJOGOLO, Barchelor of Arts In Sociology, University Of Dar es


2. Lesbianism In the Higher Learning Instituutions Of Tanzania: Its Causes, Effects and Prevention.
Presented by ALATUKELA SANGA, Barchelor of Mass Communication, Tumaini
University Dar es salaam College ( TUDARCO )

Miss Alatukela Sanga.


3. Lesbianism In the Prisons Of Tanzania: Its Causes, Effects & Prevention.
Presented by WINIFRIDA ONESMO., Barchelor of Arts In Sociology, University
Of Dar es salaam.

Miss Winifrida Onesmo.


4. HIV/AIDS Infection & Transmission Among Women who Have Sex with Other
Women In Tanzania; Its Causes, Effects & Transmission.

Presented by FATUMA MKOGA, Barchelor Of Adult Education & Community
Development, University of Dar es salaam.

Miss Fatuma Mkoga.

2. INTERVIEWS:

Nelly Kamwelu, a Tanzanian Supermodel and actress will be live interviewed about her life as a Tanzanian young lesbian woman. The interview will be followed by questions from the audiences.

3. DISCUSSIONS & DEBATES

.Is Lesbianism An Inborn Character or a Learned Behavior?
.Why do many women in Tanzania now adays practice lesbianism?
.Why and how do women become lesbians?
Should lesbianism be taken as a part of human right?
AND MANY MORE?

4.
QUESTIONS AND ANSWERS.

Noelina Asiimwe, a law student and a Physco- Analyst, will answer ten hard questions
from Ten Women who claims to be sexually attracted to fellow women.

5..DRAMA PERFOMANCE:
Jakaya Arts Theatre Group will perform live a play called " TEARS OF NAOMI" ( BASED ON TRUE STORY ) which is about a Tanzanian lesbian woman who contacted HIV/AIDS through lesbian sex...

6. MUSIC and Many More......

RUSH FOR YOUR TICKET NOW, THE AVAILABLE NUMBER OF TICKET IS LIMITED.


SPONSORS CALL 0652458..

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 11

vijana wengi wajitokeza kuonesha vipaji vyao msimu wa dhahabu unaoendelea na serengeti fiesta filamu

Anaitwa Julliet,ambaye ni mfanyakazi wa Benki moja hapa jijini Arusha,akielezea Golden Moment yake,Julliet anasema kuwa ni leo ndani ya Mawingu Club kwa kupata nafasi ya kuonesha kipaji chake cha kuigiza,amesema kuwa anaipenda sana fani ya uigizaji na anaamini kipaji anacho,lakini hakuwahi kpata nafasi kama ya leo kuonyesha uwezo wake mbele ya camera,aidha kufuatia tukio hilo Julliet ameishukuru sana kampuni ya Serengeti kuhakikisha mchakato wa kusaka vipaji vipya unafanyika,na pia Clouds FM kwa kufanikisha suala zima la mchakato wa kusaka vipaji vipya kupitia msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti Fiesta Filamu 2011.
Muigizaji mahiri wa filamu hapa nchini,Hemed wakiwa katika moja ya aigizo lililowafanya wakolee mbaya,kama uonavyo pichani huku kijana machachari kabisa ndani ya jiji la Arusha,aitwaye Michael Thomas nae akionesha umahiri wake mkubwa wa kuigiza. Michael anasema amefurahi sana kwa kuipata nafasi ya kuigiza,anasema na kuongeza kuwa aliwahi kuonesha vipaji vyake vya kuimba na kuigiza mara nyingi sehemu mbalimbali,lakini leo pia imekuwa ni kama golden Moment kwake kwa kubahatika kuonesha kipaji chake cha kuigiza kwa mara nyingine tena,aidha ameishukuru kampuni ya bia ya Serengeti kwa kutoa sapoti kubwa ya kuinua vipaji vya wasanii,pia ameipa tano Clouds Fm kwa kuendelea kuvumbua vipaji kwa njia mbalimbali.Michael anasema yeye anavutiwa sana na Mzee Magali,ambaye huigiza kwa uhalisia mkubwa,Michael anasema anatamani siku moja aigize nae,yeye akiwa kama mmoja wa watoto watukutu wa mzee magali.
Hemed akitoa maelezo kwa vijana mbalimbali waliojitokeza kwenye Serengeti Fiesta Filamu leo ndani ya Mawingu Club,jijini Arusha,ambapo vijana hao walijitokeza kwa wingi.
Zamaradi Mketema akiwa na wadau wake wa Filamu jioni ya leo.
Mie nikiwa na wadau nje ya jengo la Mawingu Club leo jioni,wakiwa tayari kwa kuonesha vipaji vyao vya kuigiza kupitia msimu wa dhahabu unaondelea na Serengeti Fiesta Filamu.
Wadau wengine walikuwepo kwenye eneo la tukio,pia walipata wasaha wa kushuhudia matukio live niliokuwa nakiyarusha hapa jamvini,wao wakiwa na laptop yao iliounganishwa na intaneti kama uwaonavyo pichani.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 1

msimu wa dhahabu unaoendela wa kusaka vipaji na serengeti fiesta filamu jijini arusha leo.



Ni msimu wa Dahabu unaoendelea na Serengeti Fiesta Filamu ndani ya jiji la Arusha jioni ya leo katika club ya Mawingu,iliopo katikati ya jiji la Arusha.Vijana wengi wamejitokeza na kuonesha vipaji vyao vya uigizaji kwa umahiri mkubwa.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 1

Rais Dk Shein akiendelea na ziara yake nchini uturuki leo.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Pamoja na Ujumbe wake wakiangalia MIchungwa Iliyoteshwa kwa utaalamu maalum,ikiwa tayari inatoa machungwa kwa muda wa miezi miwili,katika kituo cha utafiti wa kilimo cha Batem,Mjini Antaliya nchini uturuki kwa katika ziara ya Mualiko wa Serikali ya Nchi hiyo.,(kushoto) ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Batem Dr Suat Yilmaz.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo na MKurugenzi Dr Suat Yilmaz,wa Taasisi ya Batem,wakati alipotembelea kituo cha utafiti wa mazao ya kilimo ,katika mji wa Antaliya nchini Uturuki leo,alioangalia badhi ya tafiti mbali mbali za mazao katika kituo hicho.
Picha na Ramadhan Othman Uturuki.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 0

RAIS JAKAYA AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU IKULU DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Familia ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe, baada ya kuapishwa rasmi jana kwenye hafla iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Kikwete (katikati) Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakipiga picha ya kumbukumbi na Manaibu Makatibu Wakuu, baada ya kuapishwa rasmi kushika nyadhfa hiyo. Hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt Mohamed Gharib Bilal, wakipiga picha ya kumbukumbi na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na JKT, Eng. Mussa Ibrahim, akiwa na familia yake baada ya kuapishw arasmi leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha Sihaba Nkinga, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, wakati wa hafla fupi ya kuapishwa Manaibu Katibu Wakuu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha Anna Maembe. kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, wakati wa hafla fupi ya kuapishwa Manaibu Katibu Wakuu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 0

msimu wa dhahabu unaoendelea na serengeti fiesta filamu wazidi kunoga jijini Arusha leo

Muigizaji mahiri Hemed akiigiza na mwanadada aitwaye Merry kwa ustadi mkubwa,Merry amesema kuwa anapenda kuigiza kwa sababu ni sanaa anayoipenda kuifanya katika sehemu ya maisha yake,amesema kuwa katika wasanii wa filamu wanaomvutia hapa bongo ni Mwanadada Unt Ezekiel,anasema kuwa Ezekiel ni muigizaji mzuri kwa sababu anajitahidi sana kuwa katika uhalisia wa sehemu husika wakati wa kuigiza,haya yote wadau mnaletwa moja kwa moja na msimu wa dhahabu unaoendelea na serengeti fiesta filamu 2011.Serengeti Fiesta Filamu ilianza jijini Mwanza wiki iliopita na leo inafanyika ndani ya Mawingu Club jijini Arusha.
'Golden Moment' Baadhi ua vijana wengi wa Arusha,wameonesha uwezo wao mkubwa wa kuigiza,kama ambavyo ninavyoshuhudia hivi punde hapa ndani ya Mawingu Clup kwenye mchakato mzima wa kusaka vipaji vipya katika msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti Fiesta Filamu 2011,pichani ni baadhi ya waigizaji wachanga wakionesha umahiri wao kuigiza.
Waendeshaji wa mchakato mzima wa Serengeti Fiesta Filamu 2011 katika msimu wa dhahabu unaoendelea,pichani kulia ni Hemed pamoja na Zamaradi Mketema kutoka Clouds TV.Msanii mwenye vipaji lukuki,muimbaji na pia ni muigizaji mahiri wa filamu hapa nchini aitwaye Hemed (kulia pichani) akiigiza na mmoja wa waigizaji wachanga ndani ya Mawingu Club mapema leo jijini Arusha,katika mchakato mzima wa kusaka vipaji vipya katika msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti Filamu Fiesta,Serengeti Fiesta imeanza jijini Mwanza na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kusaka vipaji,na vivyo hivyo ndani ya jiji la Arusha wamejitokeza vijana mbalimbali kuonesha uwezo wao wa kuigiza katika mambo mbalimbali.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 0

VODACOM MISS TZ YAZINDULIWA RASMI jijini Dar.

Hivi ndivyo nembo ya Vodacom Miss Tanzania 2011 itakavyokuwa,ilizinduliwa rasmi hapo jana katika Hotel ya kimataifa ya Kilimanjaro Kempnsiky jijini Dares Salaam

Baadhi ya kamati ya Vodacom Miss Tanzania pamoja na wadhamini wakuu wa shindano hilo na warembo waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom miss Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja.Mkurugenzi wa Lino Internation Agency waandaji wa Miss Tanzania Hashimu Lundenga akiongea na kuwatambulisha baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania miaka ya nyuma katika uzinduzi rasmi wa Vodacom Miss Tanzania 2011

Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo mpya itakayotumika katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 na shindano hilo kuzinduliwa rasmi hapo jana katika Hotel ya kimataifa ya Kilimanjaro Kempnsiky wengine ni baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika kinyang’anyiro cha Vodacom miss Tanzania miaka iliyopita.

Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashimu Lundenga akipiga makofi kwa furaha mara baaada ya nembo mpya ya Vodacom miss Tanzania kuzinduliwa rasmi na mashindano hayo pia


Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akiwasalimu baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika kinyang’anyiro cha Vodacom miss Tanzania miaka iliyopita ,katika uzinduzi rasmi wa Vodacom Miss Tanzania 2011 uliofanyioka hapop jana katika Hotel ya Kilimanjaro Kempnsiiky.
Baadhi ya kamati ya Vodacom Miss Tanzania pamoja na wadhamini wakuu wa shindano hilo na warembo waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom miss Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Mwandaaji wa Miss Chang’ombe Tom mwana wa Chilala katikati akiwa na warembo wake waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania akiwepo Vodacom miss Tanzania Genevieve Emmanuel (kulia)
Baadhi ya vimwana vilivyowahi kushiriki katika shindano la Vodacom miss Tanzania 2010 ambapo Genevieve Emmanuel kushoto ndiye alinyakuwa taji la Vodacom Miss Tanzania 2010 nao walikwepo katika uzinduzi huo.
Wageni waalikwa mbalimbali
Baadhi ya kamati ya Vodacom Miss Tanzania walikuepo katika uzinduzi huo kulia ni Meneja udhamini wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Lino International Agency Hashimu Lundenga

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 0

kusaka vipaji vipya ndani ya msimu wa dhahabu unaoendelea wa serengeti fiesta filamu ndani ya A town leo.


 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 0

msimu wa dhahabu unaoendelea na serengeti fiesta filamu jijini Arusha leo

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, April 30, 2011 | | Permalink | Maoni 0

BUSTA RHYMES TO HEADLINE BIG BROTHER AMPLIFIED OPENING SHOW!

Friday, April 29, 2011

Iconic hip hop superstar Busta Rhymes will headline the two-hour launch show for M-Net’s BIG BROTHER AMPLIFIED when it kicks off on DStv on Sunday May 1 at 20:00. The legendary performer is jetting into Johannesburg this weekend to perform on the Big Brother stage on a night when the continent will meet the new Big Brother housemates!

Busta Rhymes has been setting the standard as a rapper and hip-hop icon,having collaborated with stars such as Diddy, Pharrell, Janet Jackson, Chris Brown & Lil Wayne, including featuring on Tiësto and Diplo track "C'mon (Catch 'Em By Surprise). He has also made several appearances on the big screen including roles on Shaft, Finding Forrester and Halloween Resurrection. His 2006 album, The Big Bang, debuted at No. 1 on the Billboard Top 200 album chart.

Seen by many as a living legend, the artist most recently formed his own record label, The Conglomerate, which he partnered with his artist , J Doe and Reek the Villain on thesoon to be released movie soundtrack of the Fast & Furious 5 “This is How We Roll” (remix). Busta Rhymes continues to cement his position in the industry as one of the most undeniable performers of all time!

M-Net’s BIG BROTHER AMPLIFIED starts on DStv channel 198 on Sunday May 1. The series is available 24/7 to DStv Premium, Compact Plus and Compact subscribers. The series is headline sponsored by Coca-Cola and produced for M-Net by Endemol South Africa. BIG BROTHER AMPLIFIED will also be available on DStv Mobile in Ghana, Kenya, Namibia and Nigeria.

PLUS in other exciting news…last night (Thursday April 28), the official BIG BROTHER AMPLIFIED website (www.mnetafrica.com/bigbrother) broke with series tradition and gave eager fans a sneak peek of 14 BIG BROTHER AMPLIFIED housemates going into the house on Sunday. They are: TV broadcaster Bhoke from Tanzania (26) Nightclub manager Confidence from Ghana (37) Singer and student Hanni from Ethiopia (22) Rapper and Radio host Herminio from Mozambique (32) Recording Artist and Marketing/Sales manager Jossy from Namibia (28) Radio and Club DJ Lomwe from Malawi (27) Actor and acting coach Luclay from South Africa (28) Actress Millicent from Kenya (28) Radio DJ Mumba from Zambia (24) Artist and Musician
Sharon O from Uganda (25) Model Vimbai from Zimbabwe (24) Radio Presenter Vina from Nigeria (26) TV Presenter and Model Weza from Angola (26) Entrepreneur, artist and marketer Zeus from Botswana (24)
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 29, 2011 | | Permalink | Maoni 0

Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Uturuki leo.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Rais wa Uturuki Mhe,Abdullah Gul,mara baada ya mazungumzo yao,yaliyofanyika katika Makaazi Rais wa nchini Uturuki,Mjini Ankara leo,katika mazungumzo yao Serikali ya Uturuki imeeleza nia ya kuleta ushikiano katika sekta mbali mbali za ,kimaendeleo,ikiwemo Afya,Utalii na Kilimo.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana mwenyeji wake, Rais wa Uturuki Mhe,Abdullah Gul,mara baada ya mazungumzo yao,yaliyofanyika katika Makaazi Rais wa Mjini Ankara,nchini Uturuki leo,katika mazungumzo yao Serikali ya Uturuki imeeleza nia ya kuleta ushirikiano katika sekta mbali mbali za ,kimaendeleo,ikiwemo Afya,Utalii na Kilimo.Picha na Ramadhan Othman,Mjini Ankara,Uturuki.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 29, 2011 | | Permalink | Maoni 0

WAFANYAKAZI IDARA YA HABARI (MAELEZO) WAMUAGA RASMI MKURUGENZI CLEMENT MSHANA

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Clement Mshana (kushoto) akikabidhiwa zawadi iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Afisa Habari Mwandamizi Bi. Anna Itenda (kulia)wakati wa hafla fupi ya kumuaga rasmi leo jijini Dar es salaam , Bw. Clement Mshana ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) .
Wafanyakazi wa Idara ya Habari(MAELEZO) wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Clement Mshana(katikati) mara baada ya hafla fupi ya kumuaga rasmi leo jijini Dar es salaam.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Clement Mshana akiongea na wafanyakazi wa Idara ya Habari leo jijini Dar es salaam wakati wa hafla fupi ya kumuaga iliyoandaliwa na wafanyakazi hao.Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 29, 2011 | | Permalink | Maoni 0

OCHU "WAUZA SURA" ( HOFU ) XXXCLUSIVE VIDEO


NDUGU WADAU!
NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NA MNAENDEREA VYEMA NA MAJUKUMU, NAAMINI BAADA YA KAZI NZITO ZA MAJUKUMU UTAKUWA SASA UMEPUMZIKA NA SASA UNAANGALIA KTK MTANDAO YALIOJIRI.

HII NI KAZI YA MSANII OCHU AMBAYE MPAKA SASA AMESHATOWA MUSIC VIDEOS ZAKE MBILI NA NASHUKURU MUNGU ZINAFANYA VIZURI NA HIYO YOTE INATOKANA NA USHIRIKIANO WA KARIBU WA MEDIA NA WADAU.
ASANTENI!

NYIMBO INAITWA "WAUZA SURA" AU HOFU NA IMEFANYWA KATIKA STUDIOS ZA SEDUCTIVE RECORDS CHINI YA PRODUCER JILLY BABY NA VIDEO YAKE IMEFANYIKA KAMA KAWAIDA EMPTYSOULZ PRODUCTION CHINI YA DIRECTOR SOLOMON LAMBA.
PIA MSANII OCHU AMESHAKAMILISHA NYIMBO ZAKE ZA KUTOSHA HIVYO YUPO TAYARI KUFANYA SHOW SEHEMU YEYOTE WASILIANA NASI KWA NAMBA 0712427606.
NAAMINI MTAIPENDA MUSIC VIDEO HIYO NA MTA ENJOY VYA KUTOSHA NA IWAPO UNA MAONI USISITE KUTUMA,

TUTASHUKURU.

ASANTE NA TUWE PAMOJA!

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 29, 2011 | | Permalink | Maoni 4

hawa hapa kulitikisa JUMBA LA BIG BROTHER AMPLIFIED 2011.

Another exciting new development this season is that Sunday's Launch Show will be going multi-media!
There will be live streaming of the two-hour opening on the official website at no cost, marking the first time in the history of the African series that this has happened!
And for audiences who log on early, there’s a special 15 minute pre-show exclusive to online audiences that begins at 18:45 CAT on Sunday 1 May.

Watch Online from Anywhere
So whether you’re watching online or whether you are watching on DStv, make sure you don’t miss the start of Big Brother Amplified.
Big Brother Amplified starts on DStv Channel 198 on Sunday, 1 May at 19:00 CAT.
The series is available 24/7 to DStv Premium, Compact Plus and Compact subscribers.
The series' headline sponsor is Coca-Cola and it is produced for M-Net by Endemol SA.
Big Brother Amplified will also be available on DStv Mobile in Ghana, Kenya, Namibia and Nigeria.


Bhoke
Age 26
Hometown Dar es Salaam, TANZANIA
Occupation TV Broadcaster
Confidence
Age 37
Hometown Accra, GHANA
Occupation CEO of MultiMedia Company / Aphrodisiac Nightclub
Hanni
Age 22
Hometown Addis Ababa, ETHIOPIA.
Occupation Singer and Student
Herminio
Age 32
Hometown Maputo, MOZAMBIQUE
Occupation Rapper and Radio Host
Jossy
Age 28
Hometown Windhoek, NAMIBIA.
Occupation Recording Artist / Marketing,Sales and Ad Manager
Lomwe
Age 27
Hometown Blantyre, MALAWI
Occupation Radio and Club DJ
Luclay
Age 28
Hometown Cape Town, SOUTH AFRICA
Occupation Actor / Acting Coach
Millicent
Age 28
Hometown Nairobi, KENYA.
Occupation Actress
Mumba
Age 24
Hometown Lusaka, ZAMBIA
Occupation Radio DJ
Sharon
Age 25
Hometown Kampala, UGANDA
Occupation Artist / Musician
Vimbai
Age 24
Hometown Harare, ZIMBABWE
Occupation Model
Vina
Age 26
Hometown Lagos, NIGERIA
Occupation Radio Presenter
Weza
Age 26
Hometown Luanda ANGOLA
Occupation TV Presenter, Model
Zeus
Age 24
Hometown Gaborone, BOTSWANA
Occupation Entrepreneur, Artist, Marketer
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 29, 2011 | | Permalink | Maoni 5

Rais Dk Shein awasili Nchini Uturuki leo.

Thursday, April 28, 2011
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania,Dr Sander Gurbuz,alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengne wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzi bar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.
-Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania,Dr Sander Gurbuz,(kushoto) na Balozi Hassan Servat Oktem,Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Uhusiano wa Kisiasa wa Nchi wa Wizara ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Uturuki,(kulia) pamoja na viongozi wengine wa Serikali ya Uturuki jana alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengne wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzi bar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania,Dr Sander Gurbuz,(kulia),alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengne wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzi bar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.
-Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar,Mhe,Pandu Ameir Kificho,alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengne wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzi bar,katika ziara Rasmi, kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania,Dr Sander Gurbuz,(kulia),alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengne wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzi bar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Hassan Servat Oktem,Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Uhusiano wa Kisiasa wa Nchi wa Wizara ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Uturuki,pamoja na viongozi wengine wa nchi humo,alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.PIcha na Ramadhan Othman Nchini Uturuki.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 28, 2011 | | Permalink | Maoni 0
Idadi ya watu