



Vichanga hivyo vikiwa tayari vimeondolewa kwenye shimo kando kando ya jirani ya nyumba ya mkazi mmoja wa eneo la Makaburi Mwananyamala kwa kopa..
Wakazi mbalimbali wa eneo la jirani na makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa, wakiwa katika simanzi kubwa baada ya kuliona tukio la vichanga wale wasio na hatia yoyote,wakiwa wametupwa kwenye shimo.Serikali imedhamiria kuelimisha jamii nzima ya watanzania juu ya athari na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, kupitia wa kwa wadau wa sekta mbali mbali.
Hayo yameeleezwa leo na Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Mazingira kutoka ofisi ya makamu wa Rais Bw Richard Muyungi, katika warsha ya wadau wa kanda ya kusini ilofanyika mkoni Mtwara.
Bwana Muyungi ameeleza kuwa Nchi zinaoendelea ikiwemo Tanzani inakabiliwa na changamoto mbali mbali zitokanazo na mabadiliko ya Tabia nchi ikiwa ni pamoja na mafuriko akitolea mfano mafuriko ya Kilosa, ongezeko la magonjwa kama vile malaria zaidi katika maeneo ambayo awali maralia haikuwa tishio kama vile Lushoto, kituro Rungwe na Njombe.
Bw. Muyungi ameainisha kuwa, kuna kila sababu ya jamii kuelewa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi umuhimu wake na changamoto zake ikiwa ni pamoja na umaskini.
Awali akifuangua warsha hiyo mwakilishi wa Afisa tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw.Smythies Pangisa alisema athari zaidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika vizazi vijavyo ni ukosefu wa maji safi, kuongezeka kwa hali ya ujangwa katika baadhi ya maeneo na viumbe kutoweka.
Warsha hiyo ya siku mbili iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira imehusisha mada ya mabadiliko ya Tabia nchi na Sera ya Taifa ya Mazingira, sheria ya usimamizi wa mazingira na utekeleazaji wake, imeudhuriwa na wadau mbali mbali wakiwemo maafisa maliasili na mazingira, mahakimu, wadau kutoka katika asasi za kiraia, Ngo’s, na wanahabari.
Habari kwa hisani ya
Evelyn Mkokoi
Afisa Habari Ofisi ya Makamu wa Rais
1. 21/04 BERGEN NORWAY ( CHIKU ALLY )
2. 22/04 OSLO NORWAY ( HASSAN NGANZO )
3. 23/04 AMSTERDAM HOLLAND ( EDDIE BUKENYA )
4. 24/04 ESSEN GERMAN ( NASHE MVUNGI )
5. 29/04 ZURICH SWISS (Dalla Silk )
6. 30/04 STOCKHOLM SWEDEN ( FREDY NICE )
She’s only doing two weekends. NO MORE BOOKINGS NEEDED.
Hassan Ngazo.
Maharusi wakiwaaga wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye mnuso huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kilamuho-Mbezi beach jijini dar,usiku wa kuamkia leo.
.Maharusi wakicheza taratiibu kwa rahaa zao
Maharusi wakitoa shukurani za dhati kabisa kwa MC aliyeiongoza harusi hiyo mwanzo mwisho,Haris Kapiga ambaye pia ni mmoja wa watangazaji wa Clouds FM.
Boss wa masoko wa kampuni ya bia ya TBL,Bwa.David Minja akiwa na mkewe wakifurahia namna vijana wa THT wakionesha ubunifu wao kwa mfanyakazi ambaye ni mwalimu wao wakati wa kutoa heshima kwa maharusi hao.
Mmoja wa viongozi wa waandamizi wa THT,Ruge Mutaha pichani kulia akiwa na viongozi wengine wa THT wakifurahia jambo kwa pamoja,kwamba kijana wao ambaye ni mfanyakazi katika kituo hicho ,anauaga ukapera.


Bibi harusi Caroline akiwa amepozi na ua lake mara baada ya kufunga ndo leo mchana katika kanisa la Azania Front,jijini Dar.
Pichani maharusi watarajiwa wakiwa katika chumba cha matayarisho kabla ya kuingia ndani ya kanisa la Azania Front mchana huu kwa ajili ya kuitimiza ndoto yao ya kuishi pamoja.
Wanachama wa Tamwa pamoja na Mkurugenzi wa TAMWA mama Ananilea Nkya wa pili kushoto wakiwapongeza Amina Mollel wa Shirika la Habari la Utangazaji la Taifa (TBC 1) wa nne kushoto na Anna Nkinda wa Idara ya Habari Maelezo wa nne kulia baada ya kumaliza kozi yao ya kubadilishana kazi (Exchange Programme) kwenye Nchi za Kenya na Nepal wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye ofisi za Tamwa zilizoko Kijitonyama mjini Dar es Salaam leo.